0
Rais Dk. Shein asisitiza wafanyakazi wa umma kufanya kazi katika mazingira mazuri Rais Dk. Shein asisitiza wafanyakazi wa umma kufanya kazi katika mazingira mazuri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa miongoni mwa malengo makuu ya Serikali ya Mapind...

Read more »

0
Ibada za Kanisa Katoliki Zafutwa kwa Wiki Mbili Ibada za Kanisa Katoliki Zafutwa kwa Wiki Mbili

Ibada za Kanisa Katoliki zimefutwa kwa wiki ya pili katika mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo, serikali imesema ni kutokana na uwezekano wa kut...

Read more »

0
Wasanii Afrika Mashariki Waomboleza Msiba wa Mengi Wasanii Afrika Mashariki Waomboleza Msiba wa Mengi

Kundi la wasanii wa muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol, limeungana na Afrika nzima kuombeleza msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ...

Read more »

0
Jeshi la Polisi Lafunguka Kuhusu Kutangaza Nafasi za Ajira Jeshi la Polisi Lafunguka Kuhusu Kutangaza Nafasi za Ajira

Jeshi la  Polisi limesema kuwa halijatangaza nafasi za ajira katika chombo chochote cha habari, hivyo wananchi wanatakiwa kuwa makini na k...

Read more »

0
Freeman Mbowe amlilia Dkt.Reginald Mengi Freeman Mbowe amlilia Dkt.Reginald Mengi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ametuma salamu pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makam...

Read more »

0
Kikosi cha Yanga SC kitakachocheza na Tanzania Prisons leo Kikosi cha Yanga SC kitakachocheza na Tanzania Prisons leo

Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuendelea tena leo ambapo Yanga SC watacheza dhidi ya Tanzania Prisons. Chini ni kikosi cha Yanga kitakac...

Read more »

0
Rais wa Liberia Arejea Ofisini Baada ya kuingiliwa na nyoka Rais wa Liberia Arejea Ofisini Baada ya kuingiliwa na nyoka

Rais wa Liberia na nyota wa zamani wa soka George Weah, amerejea tena kazini , wiki mbili kamili baada ya kuitoroka ofisi yake kwasababu ny...

Read more »

0
Mtandano wa Instagram waanza kufanya majaribio ya kuficha likes katika kila post Mtandano wa Instagram waanza kufanya majaribio ya kuficha likes katika kila post

Mtandao wa instagram umeanza kufanya majaribio ya kuficha Likes Katika post ambazo mtumiaji atakuwa amezipandisha. Taarifa hiyo imetolewa n...

Read more »

0
Mfalme wa Thailand Amemuoa Mlinzi Wake na Kumtawaza kuwa Malkia Mfalme wa Thailand Amemuoa Mlinzi Wake na Kumtawaza kuwa Malkia

Mfalme wa Thailand amemuoa Naibu mkuu wa kikosi cha walinzi wake , na kumpa cheo cha malkia, imesema taarifa ya ufalme huo. Tangazo hilo ...

Read more »

0
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Wanasiasa na Viongozi Wengine Waombolea Kifo cha Reginald Mengi Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Wanasiasa na Viongozi Wengine Waombolea Kifo cha Reginald Mengi

Watu mbalimbali wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea ...

Read more »

0
Kijiji Chapiga Marufuku Umbea ....Ukikamatwa Unapiga Umbea Faini Yake ni USD Dola 4 sawa na Tsh. 9200 Kijiji Chapiga Marufuku Umbea ....Ukikamatwa Unapiga Umbea Faini Yake ni USD Dola 4 sawa na Tsh. 9200

Binolonan ambacho ni  Kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, R...

Read more »

0
Ben Pol Mbioni Kupata Watoto Mapacha na mpenzi Wake Mkenya Ben Pol Mbioni Kupata Watoto Mapacha na mpenzi Wake Mkenya

Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya staa wa Bongo Fleva Ben Pol kutangaza kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake Anerlisa Muigai kutokea n...

Read more »

0
Ney was Mitego Aachana na Nini Ney was Mitego Aachana na Nini

Msanii wa Bongofleva Nay wa Mitego, ameweka wazi kuwa ameachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye pia ni msanii wa Bongofleva Nini. Nay am...

Read more »

0
Wanawake Wazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo Wanawake Wazidi Kuchanja Mbuga Kimaendeleo

Wanawake nchini, jana Jumatano katika kusherehekea siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) walidhihirishwa kuwa wako juu wakati wakitoa tuzo mbalimb...

Read more »

0
Safari za Wolper China Zashitua Watu Safari za Wolper China Zashitua Watu

KUNA baadhi ya watu kusafiri mara kwa mara siyo ishu sana, lakini kwa upande wa mrembo wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, saf...

Read more »

0
Rais Maduro Azima Jaribio la Kupinduliwa Rais Maduro Azima Jaribio la Kupinduliwa

Kaimu Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro ameonekana katika televisheni ya taifa pamoja na maafisa wa jeshi na wa intelijensia jana na kutang...

Read more »

0
Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Dkt. Ndumbaro afanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU)

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na  Kaimu Balozi...

Read more »

0
‘Lulu’ Amerudi Tena Adokeza Kuhusu Filamu yake mpya ‘Lulu’ Amerudi Tena Adokeza Kuhusu Filamu yake mpya

Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ametudokeza ujio wa fialmu yake mpya kupitia ukurasa wake wa instagram ikiwa ni kazi yake ya ...

Read more »

0
Drake Ashinda Tuzo za Billboard Music 12 kwa usiku mmoja Drake Ashinda Tuzo za Billboard Music 12 kwa usiku mmoja

Msanii wa muziki nchini Marekani, Drake ameshinda tuzo 12 usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za Billboard Music. Kwa D...

Read more »

0
Manara: Sevilla hata mbele imuweke Messi imuazime na Ronaldo kwa Mkapa haitotoka Manara: Sevilla hata mbele imuweke Messi imuazime na Ronaldo kwa Mkapa haitotoka

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara ameishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuleta timu kubwa kutoka La Liga, Sevilla ...

Read more »
 
 
Top