0
Mwigizaji Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ametudokeza ujio wa fialmu yake mpya kupitia ukurasa wake wa instagram ikiwa ni kazi yake ya kwanza kuiweka wazi tokea amalize kutumikia adhabu yake ya kifungo cha nje November 12,2018.

Elizabeth Michael ameonekana ku-miss kile ambacho alikuwa akikifanya yani uigizaji na kuandika kwenye caption kuwa ‘I Missed This’ pia amesisitiza kuwa filamu hiyo itatoka hivi karibuni ikiwa bado hajaweka wazi jina la filamu hiyo.

“I Missed This….📺 📺📺Nitaweka Full Trailer Kwenye Youtube Chanel Yangu….Please Subscribe,Link Kwa Bio🙏❤️#comingsoon“ >>> Elizabeth Michael

Post a Comment

 
Top