0
VIDEO: Aggrey Mwanri - hapa haitaliwa hela, engineer kaa chonjo VIDEO: Aggrey Mwanri - hapa haitaliwa hela, engineer kaa chonjo

Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ambaye amekuwa mgeni lasmi  katika halambee iliyowakutanisha wadau wa maenedeleo wilayani Tabora mk...

Read more »

0
Waziri Mkuu Ahimiza Wakazi Dodoma Wachangie Damu, Asisitiza Wanaume Wapime Vvu Ili Wajue Hadhi Zao, Wasitegemee Wake Zao Waziri Mkuu Ahimiza Wakazi Dodoma Wachangie Damu, Asisitiza Wanaume Wapime Vvu Ili Wajue Hadhi Zao, Wasitegemee Wake Zao

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Dodoma wajitokeze kwa wingi kuchangia damu ili iweze kutumika kuokoa maisha ya wengine. ...

Read more »

0
CAG mstaafu awashauri wasioridhishwa na CAG Assad CAG mstaafu awashauri wasioridhishwa na CAG Assad

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amewashauri watu ambao hawajaridhishwa na Ripoti ya CAG, P...

Read more »

0
Mbunge Ahoji Tulia Kuongozana na Magufuli Mbunge Ahoji Tulia Kuongozana na Magufuli

Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter Msiwa (CHADEMA) amehoji ni kwa nini Naibu Spika Tulia Ackson ameondoka bungeni na kwenda kujiunga kweny...

Read more »

0
Mikononi mwa Polisi kwa Kukutwa na Nyaraka za Serikali Mikononi mwa Polisi kwa Kukutwa na Nyaraka za Serikali

Jeshi la Polisi Mkoani Njombe linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Ford Abel mwakatundu (28) mkazi wa Makambako mkoani hum...

Read more »

0
Tishio la Bastola lazidi kumtesa Nape, ‘Hii sio busara kabisa’ Tishio la Bastola lazidi kumtesa Nape, ‘Hii sio busara kabisa’

Mbunge wa Mtama, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amekumbushia tukio la kutishiwa bastola lililotokea jijini Dar es Salaam, ...

Read more »

0
Rais Magufuli Atoa Siku 7 Kwa Wakuu Wa Mikoa Inayozalisha Dhahabu Kufungua Masoko Ya Madini Rais Magufuli Atoa Siku 7 Kwa Wakuu Wa Mikoa Inayozalisha Dhahabu Kufungua Masoko Ya Madini

Na Mwandishi Wetu,MAELEZO RAIS Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku saba kwa Wakuu wa Mikoa inayozalisha dhahabu nchini kushirikiana na ...

Read more »

0
Waziri Mkuu Aagiza Mabango Ya Utalii Yawekwe Uwanja Wa Ndege Wa KIA Waziri Mkuu Aagiza Mabango Ya Utalii Yawekwe Uwanja Wa Ndege Wa KIA

*Ni yenye kuonyesha wanyama, milima, fukwe, mambo ya utamaduni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa bodi ya KADCO uhakiki...

Read more »

0
Faiza Ally Afunguka Baada ya Mbunge Sugu Kusema Anamuunga Mkono Rais Magufuli Faiza Ally Afunguka Baada ya Mbunge Sugu Kusema Anamuunga Mkono Rais Magufuli

From Faiza Ally -  Baba Sasha yuko sawa kabisa kumuunga Rais Mkono , kwa sababu kama anaweza kumkosoa rais anapo kosea  kwa nini...

Read more »

0
Katibu Mkuu wa CCM: Nape, Bashe walipita UVCCM wakati mfumo wa kuandaa viongozi umekufa Katibu Mkuu wa CCM: Nape, Bashe walipita UVCCM wakati mfumo wa kuandaa viongozi umekufa

Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye anahitaji kupikwa, kusikilizwa, kuaminiwa na kusimamiwa...

Read more »

0
Hatimaye Rais Magufuli amfuatilia aliyelawiti Mtoto, amkuta Gerezani Hatimaye Rais Magufuli amfuatilia aliyelawiti Mtoto, amkuta Gerezani

SiaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa kuna mama alijitokeza jana na kusema kuwa mto...

Read more »

0
SUGU "Mimi ni Wale Tunaomuunga Mkono Rais Magufuli Bila Kuhama Chama" _ SUGU "Mimi ni Wale Tunaomuunga Mkono Rais Magufuli Bila Kuhama Chama" _

Mbunge wa Mbeya wa Mjini Joseph Mbilinyi amesema yeye ni miongoni mwa Wabunge ambao wanamuunga mkono Rais Magufuli licha ya kuto...

Read more »

0
Ombi la Sugu Kwa Rais Magufuli Kuhusu CCM na CHADEMA Ombi la Sugu Kwa Rais Magufuli Kuhusu CCM na CHADEMA

Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi amemweleza Rais Magufuli kuwepo kwa mgawanyiko kati ya wananchi wa Mbeya na kumhakikishia Rais ...

Read more »

0
Spika Ndugai Aruhusu hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni Zisomwe Kama Zilivyo Spika Ndugai Aruhusu hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni Zisomwe Kama Zilivyo

Spika wa Bunge, Job Ndugai ameruhusu kuanza kusomwa kwa hotuba za Kambi rasmi za Upinzani Bungeni  bila kuhaririwa kufuatia kamb...

Read more »

0
Umati Mkubwa Wajitokeza Kumsikiliza Rais Magufuli Mbeya Umati Mkubwa Wajitokeza Kumsikiliza Rais Magufuli Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyi...

Read more »

0
RC Makonda Amuwashia Moto Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob RC Makonda Amuwashia Moto Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob

Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob jana ameumbuliwa hadharani na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda baada ya meya huy...

Read more »

0
Serikali Yatoa Tamko Usajili wa Line za Simu Kwa Wasio na Vitambulisho Vya Taifa Serikali Yatoa Tamko Usajili wa Line za Simu Kwa Wasio na Vitambulisho Vya Taifa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema  vyombo vya dola vitandelea kuimarisha amani na utulivu wa Tanzania ili k...

Read more »

0
Prof. Palamagamba Kabudi: Sheria ya ndoa ya 1971 ni ya kimapinduzi Prof. Palamagamba Kabudi: Sheria ya ndoa ya 1971 ni ya kimapinduzi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi amesema Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 ni Sheria ya ...

Read more »

0
BRELA yawapa mwongozo Wanasheria....Yawataka Waache Kuwadanganya Wafanyabiashara BRELA yawapa mwongozo Wanasheria....Yawataka Waache Kuwadanganya Wafanyabiashara

Wakala wa usajili wa biashara na leseni nchini (BRELA) umewataka wanasheria ambao wanawasaidia wafanyabishara kusajili biashara zao kutowa...

Read more »

0
Kimenuka..Mwanamuziki Bobi Wine akamatwa Tena Uganda Kimenuka..Mwanamuziki Bobi Wine akamatwa Tena Uganda

Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi jina maarufu Bobi Wine amekamatwa baada ya yeye na wafuasi wake kugombana na maafisa wa pol...

Read more »
 
 
Top