0
Tanzania na Rwanda zinafanya mazungumzo ya kutumia ndege za Rwanda kusafirisha samaki kutoka Kanda ya Ziwa kwenda masoko mbalimbali duniani.

Hatua itakayofungua fursa kwa wafanyabiashara wa samaki wa jumla. Mwaka 2017/18 serikali ilikusanya Tsh. Tril 1.7 kutoka sekta ya samaki.

Utakumbuka Machi 8 mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame alifanya ziara ya kikazi ya siku 2 hapa nchini ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

 
Top