Mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ametoa pole kwa raia wa Zimbabwe na Msumbiji.
Nchini hizo zina waathirika wa kimbunga Idai kilichosababisha mafuriko na vifo vya watu wengi, takribani watu 2,000 wamefariki dunia.
"Sala na maombi yangu yawe nanyi wananchi wa Msumbiji,Zimbabwe na Malawi kwa maafa ya kimbunga idai. Pia poleni wananchi mliopotelewa na ndugu na jamaa.Watanzania tunawaombea sana please kind pray for Mozambique, Zimbabwe and Malawi.
Utambukakuwa tayari serikali ya Tanzania imetoa msaada wa Chakula, Dawa, magodoro, shuka, blanketi na vyandarua kwa nchini hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment