0


Mchekeshaji Joti amechukua haedlines leo February 9,2019 kupitia mitandao ya kijamii hii ni baada ya kupost video clip kupitia ukurasa wake wa instagram kuhusiana na kauli ya Steve Nyerere kusema kuwa Ommy Dimpoz hatoimba tena.

Mwigizaji Steve Nyerere ameonekana kuipata video hiyo iliyofanywa kwa dhumuni la kuiburudisha jamii na hivyo Steve aliamua kujibu kile ambacho Joti amekiandika kwenye ukurasa wake wa instagram.



Joti ameandika >>> “Jamani mbona Ommy dimpoz ameimba,aliesema Ommy hatoimba tena ni nani!?”

Steve Nyerere alimjibu “Huna wakubwa kwenu, huna adabu, huna wasomi kwenu, huna voko kwenu, huna nidhamu kwenu, you are very discipline wewe haya futa haraka”

Post a Comment

 
Top