Nandy na Lulu Diva Wawatatiza Mashabiki..Tajiri Joho wa Kenya Ahusika Kwa Wote
Mwanadada Nandy na msanii mwenzake wa kike Lulu Diva wamewaacha mashabiki katika njia panda baada ya wawili hao kila mmoja kwa nafasi yake kuonekana akiwa na lebo inayotatizza huku watu wakihisi kuwa lebo hiyo ni ya mwannaume mmoja.
Hapo nyuma , Nandy alikuwa akihojiwa na mashabiki hasa kutokana na kuvaa kofia iliyoandikwa Joho 001, ambapo ni lbo ya rafiki mkubwa na alikiba anaekaa huku nchini mombasa.
Lakini wikiendi hii picha moja ya Lulu diva ilisambaa katika mitadao ya kijamii ikimuonyesha msanii huyo wa kike akiwa amechra tatoo yenye jina kama hilo la Joho katika mkono wake.
Hata hivyo mashabiki wamekuwa wakihoji juu ya nembo hiyo kwa wadada hao wawili kama imekuwa ikiashiria kitu kimoja au la.
Post a Comment