Mrembo Anty Ezekiel Katika Pozi |
STAA mwenye mvuto Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefungukia ‘tatuu’ aliyoichora pajani kuwa anashangaa watu wanavyoijadili alichoraje kwani kwake ni kitu cha kawaida tu.
Akizungumza na Za Motomoto, Aunt alisema kwanza hiyo tatuu siyo halisi ameichora kwa piko ila watu wanavyomjadili amewezaji kufunua paja kuchora na wakati kuna watu wanaochora sehemu tofauti na za kushangaza.
“Nawashangaa sana wanaojadili paja langu sijui wanachotaka ni kitu gani, kwanza hapa nimejichora tu na piko lakini kingine wameona kujichora hivi kama kitu kisicho cha kawaida inashangaza kwa kweli waniache na maisha yangu,” alisema Aunt.
Stori: Imelda Mtema
Post a Comment