IKULU Yakanusha Taarifa Hii Inayosambazwa Mitandaoni 01:36 ahmed 0 udaku A+ A- Print Email IKULU Kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano, Gerson Msigwa, imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni ikidai serikali inampango wa kufunga michezo ya kubahatisha kama iliyovyofanya Serikali ya Uganda
Post a Comment