0

Msanii wa Bongofleva Lulu Diva ameendelea kuingia kwenye Headlines na hii ni baada ya kusambaa kwa story kwenye mitandao ya kijamii ya kwamba ana mtoto ambaye amemuacha kijijini kwa muda mrefu na kutokana na kumuacha muda mrefu mtoto huyo hamuiti mama ila anamuita Dada.


Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama LULU DIVA akielezea..


Post a Comment

 
Top