Babu Seya Yupo ‘Singo’ atafuta mama wa kumfulia. .
Papii amesema wakati anakwenda jela alimwacha mchumba’ake na mtoto, Baba yake, Nguza Viking ‘Babu Seya’ amesema kipindi hicho hakuwa na mke kwani aliyekuwa mkewe ambaye ni mama yao akina Papii alikwa amefariki dunia.
‘’Nipo singo, natafuta mama mmoja mzee wakunifulia tu’ Babu Seya Afunguka.
Post a Comment