0
Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) Ole Sosopi amezungumza na waandishi habari amezungumza kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo suala la utekwaji kwa watu mbalimbali pamoja na miili kukutwa katika fukwe ya Coco Beach.

“Nitaje matukio machahe ambayo mnayafahamu hata nyie, alitekwa Roma na wenzake mpaka leo Serikali haijatoa taarifa yoyote, kwa bahati mbaya kila anayetekwa hajawahi kusema nini kilimtokea alipokuwa, Serikali imekaa kimya,” -Ole Sosopi

VIDEO:

Post a Comment

 
Top