0

Katikati ya mwezi December 2017 hadi mwishoni kabisa ya mwaka, binti wa Kipalestina Ahed Tamimi, 17, alikuwa gumzo mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa baada ya kusambaza video iliyomwonesha akiwapiga makofi wanajeshi wawili.

Sasa jana March 21, 2018 imetolewa hukumu juu ya binti huyo, ambapo amehukumiwa kifungo cha miezi nane jela kutokana na kosa hilo la kuwapiga wanajeshi.

Katika video hiyo Ahed alionekana akiwapiga askari hao ambao walikuwa wamekwenda kwenye eneo la makazi yao, ambapo binti huyo kwa ujasiri alionekana kuwapiga makofi huku akiwaambia waondoke kwenye eneo hilo.

Post a Comment

 
Top