Rais Magufuli akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Qatar Ikulu Dar es Salaam
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Machi 21, 2019 amezungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman J.A. Al Thani, ambapo wamejadili kuhusu uwekezaji wa gesi, madini, utalii, barabara, bandari, nishati, pamoja na reli.
Post a Comment