Meddie Kagere amekuwa ni sehemu ya mchezaji wa Simba SC aliyecheza kwa mchango mkubwa kwa upande wa timu yake ya Simba SC hususani katika kipindi cha mwezi huo aliyotangazwa.
Meddie Kagere amekabidhiwa tuzo yake na wadhamini wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi, ambao ni kampuni ya BikoSports ambapo inaenda sambamba na zawadi ya Tsh milioni 1. Pia mchezaji huyo amekabidhiwa zawadi yake ya King'amuzi cha AzamTV.
Post a Comment