Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mohamed Mchengerwa ameishauri Serikali kutekeleza mpango mkakati chini ya Magereza inahakikisha wafungwa wenye ndoa wanawekewa mazingira yatakayohakikisha wanapata haki ya tendo la ndoa hatua ambayo itasaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo UKIMWI
VIDEO:WWafungwa Waliooa Kujengewa vyumba Private ili Wapate Tendo la ndoa

Post a Comment