Sande Wilson ni kijana ambaye ni mtaalamu wa Kushika Vinyonga na Kucheza navyo na pia mpaka kuvitafuna mdomoni jambo ambalo kwa binadamu limekuwa likiwashangaza wengi Leo muungwana Tv tumefanya Exclusive na Sande na kueleza jinsi anavyofaidika na vinyonga Hivyo na amesema amekuwa rafiki wa vinyonga .
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Post a Comment