0

Dansa wa msanii Daimond platinumz amefunguka na kuonyesha  kukerwa kwake na tuhuma zinazoendelea juu yake kwa sababu wengi wamekuwa  wakimtuhumu kuwa amekuwa akilelewa na mwanamke wake aunty ezekiel.

Moze anasema kuwa haiwezekanai yeye kulelewa na mwanamke kwa sababu amaekuwa akifanya kazi na analipwa mshahara, lakini pia Bosi wake amekuwa moja ya mabosi wasikivu na mwenye kujali sana hali za wafanyakazi wake kuliko watu wanavyofikiria.

Ukiachana na tetesi hizo, lakini pia moze amekanusha tetesi za kuwa ameachana na mwanamke huyo ingawa aunty amekuwa akisema maneno yanayothibitisha kuachaa kwao.

Nalelewaje wakati nafanya kazi kwa Diamond, nikimwambia diamond nataka gari fuani haichukui hata dakika, diamond ni bosi anaejali sana.

Post a Comment

 
Top