0
Lugola Amvaa Lissu "Lissu Umekiziba Kesi Sasa Tukusaidieje"
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, ametolea ufafanuzi kuhusiana na sababu zinazosababisha baadhi ya kesi kutoendelea na kuchelewa kusikilizwa.

Lugola amesema kuna baadhi ya watu wanatelekeza kesi zao huku akitolea mfano wa Kesi ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye ametelekeza kesi yake na hata baada ya kutoka hiospitali hakurudi nchini kwa ajili ya kutoa maelezo ambayo yangeweza kuendeleza kesi yake.

Post a Comment

 
Top