Alikiba Afanya Bonge la Shoo Muscat Aacha Historia 04:31 ahmed 0 udaku A+ A- Print Email Msanii wa muziki, Alikiba Ijumaa hii amefanya show ya nguvu huko Muscat, Oman na kupokewa na maelfu ya watu. Hii ni show ya kwanza kubwa ya muimbaji huyo kwa mwaka 2019 baada ya ile aliyofanya nchini Kenya.
Post a Comment