Utajiri Hauambukizwi Kupitia Tendo la ndoa - Huddah Monroe
Mrembo kutokea nchini Kenya, Huddah Monroe amefunguka kitu ambacho amekipitia kwenye maisha yake ya mahusiano na hakijampatia faida yoyote.
Huddah Monroe kupitia mtandao wa Snapchart ameeleza kuwa amekuwa akijihusisha kimapenzi na watu wenye utajiri mkubwa lakini yeye bado hajawa tayari.
“Nimejihusisha kimapenzi na Mabilionea lakini sijawahi kuwa Bilionea, utajiri hauambukizwi kupitia tendo la ndoa ,inabili uwe mtumwa kwa ajili ya vitu vyako kila siku” ameeleza.
Utambuka June 17, 2018 katika show ya Harmonize ‘Kusi Night’, Huddah ni miongoni mwa wale waliotoa burudani ya aina yake. Alipanda jukwaani na kucheza ngoma ya Diamond ‘ African Beauty’ kitu kilichoibua shangwe la aina yake.
Post a Comment