0
Tanzia: Baba Mzazi wa Alikiba Afariki Dunia Alfajiri ya Leo
Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki Dunia alfajiri ya leo Januari 17, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Taarifa kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa baada ya ndugu kukutana na kufanya mipango.

Inna lillahi wainna ilayhi raji’un.

Pole sana kwa familia ya Kiba.

Post a Comment

 
Top