0
Ndoa ya Sugu Yamnyima Usingizi Faiza
Mwanadada faiza ally ambae aliwahi kuwa na mahusiano na mbunge wa mbea joseph mbilinyi anaonekana kuteswa na jini la mapenzi kutoka kwa mbunge huyo kutoana na kuumuia kwake kila anapoona mwanasiasa huyo anapiga hatua kubwa katika maisha yake..


Sugu ambae kwa sasa amekuwa na mahusiano mpaya na mwanamke mwingine anaeitwa happy, amekuwa akiandamwa na faiza kila kukicha na hata kumtukana kila matuzi lakini mwanadada huyo hakuwahi kujibu kitu,

wikiendi iliyopita mbunge huyo aliamaua kumvisha pete mama kijacho huyo kitu kilichomfanya faiza atume maombi ya kuvunjika kwa ndoa hiyo huku dua zake ikiwa ni mwanaume huyo kumrudia yeye.

Hata hivyo , hivi karibuni mwanadada huyo kaibuka tena na kusema kuwa amesikia sugu anafunga ndoa mwezi wa ne na haya ndio yalikuwa maneno yake kuhusu ndoa hiyo.

“kuna jitu limetumwa kuja kuniambia kuwa harusi ya baba sasha ni mweiz wa nne,  na kunitukana juu..naisubiri hiyo harusi kwa hamu sana… nione kama inaniua au itanibadilisha kitu katika maisha yangu …kwanza bibi harusi sura mbaya haweiz hata kudamshi ..wala hanishtui na pua kama bibo.

Share
COMMENTS
GOGA : January 23, 2019 at 9:13 am
😂😂😂😂

Reply
MARYA : January 23, 2019 at 9:16 am
😂😂😂😂

Reply
TONY : January 23, 2019 at 9:17 am
unapendaga kujidhalilisha sana

Reply
CHRIS : January 23, 2019 at 9:18 am
Eti pua kama nini vile 😂😯

Reply
SALLY : January 23, 2019 at 9:20 am
hilo pua hilo…..ndilo limechaguliwa na sugu

Reply
LEAVE A REPLY
Your email address will not be published. Required fields are marked
COMMENT

NAME

EMAIL

PHONE NUMBER

in Entertainment
SUGU NA FAIZA ALLY NEWS
INTERESTING FOR YOUMgid

Reduce Your Belly Size At Night With A Simple Trick
mystunningbody.com

A Single Fruit Which Changed My Metabolism & Helped Me Lose 20 Kg
mystunningbody.com

You Won't Need Gym And Diets With This Natural Fat Burner
mystunningbody.com

Expedicto Lilian
#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.

RECOMMENDED POSTS
Diamond ana Bahati ya Kupata Wanawake wazuri  :-Masanja
Diamond ana Bahati ya Kupata Wanawake wazuri :-Masanja
January 23, 2019

Ni Miaka Niwili tu ndo Nilipata hii Shepu :- Posh
Ni Miaka Niwili tu ndo Nilipata hii Shepu :- Posh
January 23, 2019

Mwijaku Aingilia Kati Ugomvi wa Hamisa na  Tahiya
Mwijaku Aingilia Kati Ugomvi wa Hamisa na Tahiya
January 23, 2019

Funded by 88mph

Post a Comment

 
Top