Video vixen na msanii wa Bongo fleva Gift Stanford ‘Gigy Money’ na Baba Watoto Wake Mo J wameachana tena Baada ya Gigy kumtuhumu Mpenzi Wake kwa michepuko.
Hivi karibuni Mo J alikumbwa na skendo ya aina yake Baada taarifa kusambaa kuwa amekuwa akimfuata mchumba wa Mc Pilipili anayeitwa Philomena na kumtongoza.
Inadaiwa kuwa Msichana huyo Ali screenshoot maongezi yao na kusambaza kwenye Mitandao ya kijamii yaliyomuonyesha Mo J akimtongoza mrembo huyo.
Basda ya kupata taarifa hizo Shilawadu walimfikishia Gigy Money ambaye alizua bonge la varangati na kusababisha yeye na Mo J kurushiana matusi ya nguoni na kuachana.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Gigy Money ameweka wazi kuwa Penzi lake na Mo J limefika ukingoni kwa ajili ya michepuko:
Mimi Na baba Mayra atuna Matatizoo Yoyotee tupo Salama ata msijali/ mm Mwenyewe daily namcheat sema ajuagi Tu kwaiyo Tufanye kama kateleza Na ww baby siku Nyingine angalia class kuna Wengine watakuzalilisha ila Sio mbaya Up & downs tulaleni sisi tumelala hapa wenzenu nadanganywa tu Text za kutengeneza ila Ndio ivyo bwana tushazoea kuachwa nakurudiwa rudiwa 🤣🤣🤣🤣🤣 nakufaaaaaaawaaawa Nakupenda baba Mayra Wangu Wachaa waseme atuwanunulii bundle uzuri ni kwamba ulikua Kwenye process ujafanya so Ile ela ya kuku ntumie kwenye Namba Yangu tununue lactogen Na ya Usafirii pampas ❤️✌🏾🙏🏻Black season Jamani uwa lisiwatishe Sio Mambo ya zari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🖤 ila Babe ulipo niroga nipeleke Na mm nikuroge 🤣 Bwanaa aki Sawa kwa wote kama ulihisi umeniumiza sana Hapanaa nimefurahi sanaaaa baba 🤣🤣🤣🤣 naruka naruka
A post shared by 👑GEE Ocean 🌊 💧👑 (@gigy_money_og) on Jan 16, 2019 at 4:38pm PST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment