0
Makonda, Gwajima Uso kwa Uso Mbele ya Magufuli
MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo Januari 22, amekutana uso kwa uso na Askofu Josephat Gwajima, ambaye kwa muda mrefu walikuwa na tofauti.

Makonda na Gwajima wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere – Dar es salaam, katika Mkutano wa wachimbaji , wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini, uliohudhuriwa na Rais Magufuli, viongozi mbalimbali wa serikali na viongozi wa dini.

Post a Comment

 
Top