Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Ilala, Temeke na Arusha ambao uteuzi wao ulitenguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwa madai ya kushindwa kupambana na rushwa, wamehamishiwa Makao Makuu ya Polisi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment