Mwigizaji Mwijaku amezungumza kuhusu kile kinachoendelea mitandaoni kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja ikiwemo uvumi wawili hao kuachana na kila mmoja yupo na penzi jipya, Mwijaku amedai kuwa ndoa ya Uwoya na Dogo Janja ilikuwa kivuli ila yupo tajiri mmoja anayemuweka mjini Uwoya.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW.
Post a Comment