0
WCB wameshawapumbaza wabongo kweli...Diamond akifanya kitu tu ni Breaking News ..kiato kimekatika breaking news. kifesi kuachishwa kazi breaking news.. kiba kuoa mombasa wamemupotezea... kiba sijuwe kafanya nini hawataki kujuwa ... kila wanachotaka kujuwa nikujuwa ya WCB whyyyyy whyyyyy yoooooooooo

Post a Comment

 
Top