Mimi ni mwanamme na sinywi pombe wala kuvuta sigara. Naendelea
naandika uzi huu baada ya kuona mdau anauliza kunywa pombe then sex au kutokunywa pombe then sex ni wapi kuna raha?
Sasa nitajibu hii swali kwa hoja mbili
1/ Kiafya
2/ Kijamii
Kiafya
Sasa nianze kwa kuuliza unafahamu pombe ikuingiapo ubongoni mwako nini hufanyika? Kwa ufupi sana, ubongo wa mwanadamu umejazwa aina ya kemikali za mawasiliano kitaalamu huitwa neurotransmitters.
Hizi kemikali zimegawanywa katika makundi mawili, zipo ambazo kazi yake ni kuchochea utendaji sahihi wa ubongo ambazo kitaalam tunaziita excitatory neurotransmitters. Mfano glutamate.
Lakini pia zipo ambazo kazi zake ni kuslow down ufanyakazi wa ubongo yaani tunaziita inhibitory neurotransmitters. Mfano kuna gaba.
Nini hutokea baada ya pombe kuingia mwilini?
Pombe iingiapo katika ubongo wako kwanza kabisa inaenda kupungusa zaidi kiwango cha glutamate (excitatory neurotransmitter yenye kazi ya kuchochea ubongo kufanya kazi vzuri) at the same time inaongeza kwa kiwango cha juu gaba (inhibitory neurotransmitter ambayo kazi kubwa ni ku slow down ufanyaji kazi wa ubongo)
Nyote mnajua biology ya o level iliwahi kuwaonyesha ubongo na sehemu zake, kuna mtu asojua medulla au hypothalamus au cerebellum na gland km pituitary, n. K. N.K? Kuna mtu asovijua hiyo?.
Sasa nazungumzia parts ya ubongo ambayo moja ya kazi kubwa nikucontrol sexual activities yaaan hypothalamus sambamba na pituitary
Kitendo cha kupunguza kiwango cha glutamate katika ubongo huku kukiwepo na ongezeko kubwa la gaba, hupelekea kushushwa kwa kiwango cha nguvu za utendaji wa neva ndani ya hypothalamus naivyo kufanya hypothalamus na pituitary kurespond kwa *kuongeza hamu ya ngono, wakati huohuo kupunguza uwezo wa utendaji kazi wa ngono ( performance) yako.
Sasa hiyo inamaana gani? Inamaana yaivi, ukinywa pombe ndio unanyegeka lakini kwenye kugegedana utagonga kabao kamoja au viwili vya fasta fasta chali
Lakini pia nizungumzie medulla, moja ya kazi kubwa ya hii part ya ubongo ni kuongoza shuguli zote ambazo ni automatic ikiwemo na consciousness, sasa nini hutokea hapa? Pindi tu pombe ikuingiapo katika ubongo medulla hulazimika kukufanya wewe ujihisi usingizi nahivo utalala.
Sasa ndugu yangu, kwanza umenyegeka alafu performance imepungua, mbaya zaidi ukigegeda ni kamoja tu unapitiwa na bonge la usingizi, kwanini usichapiwe?
Kijamii
Katika kukaa na wanawake tofauti marafiki wakike, wote wanalalamika kutogegedwa vzuri, shida wanaume wanakunywa pombe. Lakini pia katika kukaa na wanaume wenzangu wanaotafuta ushauri na tiba zao, wanasema hawakazi zaidi ya mbili, ukifatilia shida ni wanywaji wapombe.
Endeleeni kuongeza mapato ya serikali.
By Vladimirovich Putin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment