0
Watanzani tukitaka nchi yetu iendelee, tuachane na dhana za udini, Serikali ya Tanzania ni serikali inayoamini kuwa kila mtanzania ana haki ya kuabudu anachotaka,kilichotokea Rukwa msikiti umezuiliwa kujengwa na Mkuu wa Mkoa bila ya sababu za msingi,hii imeleta hasira kwa wale wenye imani ya uislam..

Yaliyoendelea Rukwa ni sawa na kuwaambia wale wanaojenga Makanisa kule Zanzibar wasijenea kwasababu Zanzibar asilimia 99% ya wazanzibari ni waislam...

Binafsi mimi naona hii ni hatari kwa umoja walioujenga waasisi wa nchi hii inayoitwa Tanzania,Watanzania tujiepushe na ujinga kama huu kama tunataka maendeleo ya kweli kwenye hili Taifa

VIDEO:

Post a Comment

 
Top