0
Leo kwenye mitandao ya kijamii imesambaa nakala ya gazeti la Tanzanite inayotarajia kutoka siku ya Jumatatu(Kesho) yenye maudhui yanayokinzana na maadili ya kitaaluma yanayomzungumzia mwanadada Mange Kimambi, kutokana na hilo, Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali imepata malalamiko na kuamua kuita wahusika kuja kutolea maelezo.


Ameandika Msemaji Mkuu wa Serikali, nanukuu
''Nimepokea malalamiko mengi kuhusu maadili ya kitaaluma katika toleo linaloonekana mtandaoni la gazeti la Tanzanite.Gazeti hili limesajiliwa kutoka kila jumatatu,hivyo tumewaita wahusika kesho baada ya kuona nakala halisi ili kupata maelezo yao.''
Source:Jamii Forums

Post a Comment

 
Top