0
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala Yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimeairiaha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie??

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo?

Sijui nimwambie boss wangu Hali hii??

Nimechanganyikiwa kabisa

Post a Comment

 
Top