0
Wakati akihutubia kwenye mkutano wa kumnadi mgombea wa CCM, Maulid Mtulia, Mzee Wassira alisikika akisema Lazaro Nyalandu ameanza kuwapigia simu baadhi ya viongozi wa CCM ili aongee nao kuhusu hatima yake ndani ya CHADEMA.

Wassira anamshangaa Nyalandu kwa kushindwa kufanya utafiti sahihi kuhusu CHADEMA kabla hajaamua kujiondoa CCM na kuhamia CHADEMA na amewashauri wamsikilize na kumuuliza alichokiona CHADEMA kwa muda mfupi mpaka kuanza kufikiria hatima yake ndani ya CHADEMA.

VIDEO:

Post a Comment

 
Top