3


Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

Post a Comment

  1. Ok pole ila sio tatizo. Kama utakuwa unazaa nitafute mimi kwa maongezi zaidi mawasiliano email frank.ngimbwa@yahoo.com au 0717-572099 karibu

    ReplyDelete
  2. Upo wapi best,njoo nikufariji kama upo serious jaridakibaha@gmail.com

    ReplyDelete
  3. Upo wapi best,njoo nikufariji kama upo serious jaridakibaha@gmail.com

    ReplyDelete

 
Top