0

Straika mkongwe wa TP Mazembe Rainford Klaba amesema kuwa wamejipanga vyema katika mchezo wao wa Kesho dhiddi ya Simba katika hatua ya Robo Fainali michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kalaba amesema kuwa mchezaji wanae muhofia na kumuangalia kwa makini ni Clatous Chama mwamba Lusaka kutokana na uchezaji wake.

Post a Comment

 
Top