Rais Magufuli Aondoka Nchini Kwenda Malawi kwa Ziara ya Serikali 02:39 ahmed 0 udaku A+ A- Print Email Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini kwenda Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku 2. Kisha atarejea nchini na kuanza ziara ya kikazi ya siku 8 Mkoani Mbeya
Post a Comment