0

Hatimaye Benpol Aonyesha Uanaume Wake Kwa Kumvisha Pete Anerlisa Kutoka Kenya

Ben Pol na Anerlisa Wamekuwa katika mahusiano na kuyaweka wazi muda si mrefu huku wawili hao wakionekana wakisafari sehemu mbali mbali Duniani

Anerlisa ni mtoto wa kisure kutoka Kenya , Wazazi wake wanamiliki kiwanda kikubwa cha Kutengeneza Bia Kenya huku Anerlisa mwenye ni mmiliki wa kiwanda cha Maji huko Kenya pia, Ben Pol ni Mwanamuziki wa Bongo Flava

Post a Comment

 
Top