0
Muimbaji Ruby apata mtoto wake wa kwanza
Taarifa nzuri kwa sasa kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva zinaeleza kuwa muimbaji mwenye sauti yake ya pekee, Ruby amejaliwa kupata mtoto.

Tayari toka awali inafahamika kuwa Ruby yupo kwenye mahusiano na msanii mwenzie, Kusah ambaye ndiye baba wa mtoto huyo.

Ruby anaungana na wasanii wengine wa kike kama Gigy Money ambaye alijaliwa kupata mtoto mwaka jana. Kwa sasa Ruby ambaye anafanya vizuri na wimbo wake unaokwenda kwa jina la Alele.

Post a Comment

 
Top