0

Muda mchache baada ya Maalim  Seif Sharif Hamadi kutangaza kuhamia ACT Wazalendo wanachama na viongozi mbali mbali wa Chama cha Wananchi CUF waliokuwa wanaomuunga mkono visiwani Zanzibar wachukua uamuzi wa kubadilisha bendera katika ofisi zao na kuweka bendera za ACT - Wazalendo.



Katika hatua nyingine wameamua kubadilisha rangi kwa baadhi ya ofisi na kupaka rangu za ACT wazalendo.

Post a Comment

 
Top