Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda ameulizwa kuhusu hali ya kiafya ya mwimbaji Ommy Dimpoz ikiwa ni baada ya yeye kupost video ya msanii huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu hali yake na mpaka sasa alivyorejea akiwa na wimbo wa kumshukuru Mungu.
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama RC Makonda akzungumza
Post a Comment