Anerlisa BEN POL Amenifanya Nimeupenda Mziki wa Injili Kwa Sikilimia 95
Ben Pol amenifanya niupende muziki wa Injili kwa asilimia 95%, kwani muda mwingi tunapokuwa wote husikiliza muziki huo- Anerlisa mpenzi mpya wa Ben Pol ambaye ni milionea kutoka nchini Kenya.
Post a Comment