0
RC Makonda Amuombea Msamaha Tundu Lissu....Amtaka Spika Ndugai kumpeleka milembe atakaporejea nchini
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewaomba watanzania kumsamehe Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu kwa kauli anazozitoa huko nje ya nchi.

Makonda ametoa kauli hiyo leo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, katika Mkutano wa Wachimbaji, Wafanyabiashara na Wadau wa sekta ya madini nchini.

Makonda amesema kwamba amegundua kwamba kauli za Lissu zinatokana na kwamba bado hajapona vizuri kichwani kutokana na yeye mwenyewe kukiri wakati alipokuwa akimaliza mahojiano katika kipindi cha 'Hard Talk' kilichofanyika jana na kituo cha televisheni cha BBC.

Ameeleza kwamba katika mahojiano hayo, Lissu ameshindwa kujibu juhudi za Magufuli namna anavyopigana katika suala la madini, ambapo aliikimbia mada hiyo na kuzungumzia mambo mengine ya tofauti, hivyo inaonyesha bado  anaendelea kupokea malipo.

"Kama bado mgonjwa inamaana kichwani mambo hayajaakaa vizuri na ndo maana anahitaji matibabu na akitoka kule, tunamuomba Spika amfikishe Mirembe pale na aendelee kumuhudumia".Amesema Makonda
Advertisement
advert
==



Advertisement
Usipitwe na Habari Yoyote. Install Mpekuzi App kwenye Simu Yako Upate Habari Zetu kwa Wepesi Zaidi

==>>... << BOFYA HAPA  Kui Install>>
==

Why you need to have a tenancy agreement
monitor
|
Sponsored
Canada needs 300,000 more workers from around the world to increase economic growth!
Canadian Visa Expert
|
Sponsored
This Is How You Can Fix Your Sleeping Problems With Science
Addsolute
|
Sponsored
11 Cancer Symptoms You Are Probably Ignoring
Stay Fit, Stay Active
|
Sponsored
Virtually Indestructible Drone Takes Tanzania, United Republic Of By Storm
Dronex Pro
|
Sponsored
Finally. The Smart Watch Every Man In Tanzania, United Republic Of Has Been Waiting For!
Tact Watch
|
Sponsored
World's Scariest Bridges
Viral X Files
|
Sponsored
10 Easy Skin Secrets Dermatologists Don’t Want You to Know
Womensarticle.com
|
Sponsored
.....


===

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )


Batuli 'Amwaga Machozi' Baada ya Picha zake za Nusu Uchi Kusambazwa MitandaoniMPEKUZI: Batuli 'Amwaga Machozi' Baada ya Picha zake za Nusu Uchi Kusambazwa Mitandaoni
Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates,United States, United Kingdom Batuli  'Amwaga  Machozi'  Baada  ya  Picha  zake  za  Nusu  Uchi  Kusambazwa  Mitandaoni
MPEKUZI


Home
View web version

Post a Comment

 
Top