Ommy Dimpoz amekuwa kimya kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii toka Decemba Mosi mwaka jana. Kuliibuka taarifa za yeye kuzidiwa na kurishwa hospitali tena lakini taarifa hizo zilitupiliwa mbali na watu wake wa karibu.
Willy Paul amechapisha picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika, 'Happy to see you my brother!! Ommy Dimpoz'
Ommy Dimpoz na Willy Paul amekutana Kenya, bado haijajulikana iwapo wawili hao wamekutana kwa lengo la kudumisha urafiki au ni kazi pekee.
Post a Comment