VIDEO:
RC Makonda Awezesha Matibabu ya Ahmed Albaity Nchini China (Video)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwa kushirikiana na wadau wengine wamefanikiwa kupata fedha za matibabu zaidi ya tsh milioni 106 kwaajili ya matibabu ya Ahmed Albaity. Albaity amesafiri Jumapili hii kuelekea nchini China kwa ndege ya Emirates ambapo anatarajia kukaa zaidi ya wiki mbili.
VIDEO:
VIDEO:
Post a Comment