0

Je shi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limepiga marufuku disko toto kipindi hiki cha msimu wa sikuku ya Pasaka, pia limeahidi kuimarisha ulinzi na usalama na hakuna mtu yeyote atakaepata nafasi ya kufanya vitendo vya uhalifu.

Post a Comment

 
Top