0

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli nchini TRC, Masanja Kadogosa amekanusha taarifa zinazoenea kuwa moja ya vichwa vya treni 11 vilivyokuwa katika mpango wa kununuliwa na Serikali kimeanza kutumika na kimepata ajali
-
Amesema kuwa kampuni ambayo Waziri alikuwa anazungumzia kuhusu kununua vichwa ni kampuni hiyo hiyo ambayo imeleta vichwa 13 kipindi cha nyuma
-
Anasema treni zina madaraja, mfano; daraja 90, 80 na 64. Kwa hiyo katika zile namba kwenye kichwa cha treni, 90 ni namba ya daraja halafu zinafuata namba nyingine
-
Anaendelea na kusema katika vichwa 13 vya mwanzo kimoja ndio kimeanguka kule KIgoma na si vile vilivyopo Bandarini
-
Hivyo, kichwa kile hakina uhusiano na vile vilivyopo bandarini

Post a Comment

 
Top