0

DODOMA: Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi-UVCCM Taifa, Jokate U. Mwegelo kuanzia leo Machi 25, 2018

Kamati hiyo ilikutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu. Kheri Denis James

Sababu za kutengua uteuzi huo bado hazijawekwa wazi.

Post a Comment

 
Top