Dogo Janja ameandika hivi….
“Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife ❤️ #AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu” – Dogo Janja
Pamoja na Dogo Janja kupost na kuandika hivyo mkewe Irene Uwoya na yeye al-comment chini kwa kuandika….
“Unamkwara baba….ila usiue Utaenda Jela” – Irene Uwoya
Post a Comment