TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
VIDEO: 'Serikali Inafurahia Viongozi Wa Upinzani Wanavyouwa?' Mtatiro Afunguka
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi CUF, Julius Mtatiro amesema kukaa kimya kwa Serikali pindi wanapouawa Viongozi wa Vyama vya Upinzani kunaashiria kuwa Serikali inafurahia vifo hivyo hali ambayo inawafanya wauaji waendelee kufanya mauaji hayo kwa kuwa hawakemewi na Serikali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
Post a Comment