PICHA: Msanii AY Awafunga Ndoa na Mchumba Wake wa Siku Nyingi
MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy jana katika ufukwe wa bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.
Ambwene Yessayah ‘AY ‘ (katikati) akiwa na mkewe (wa pili kushoto) kabla ya kufunga ndoa leo katika ufukwe wa bahari ya Hindi.
Post a Comment